Wako Wapi: Francis Ngang'a aliyekuwa katibu mkuu wa KNUT 30th April 2016
30, Apr 2016
Wako Wapi: Francis Ngang'a aliyekuwa katibu mkuu wa KNUT. Tunaangazia aliyekuwa katibu mkuu wa kiungo cha walimu kikuu nchini Kenya. Bw. Francis Ngang'a atueleze alikoenda na anachofanya baada ya kuwachana na chama hicho.