×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Kenyatta akashifu vikali uwindaji haramu katika mipaka ya Kenya

30th April, 2016

Wawindaji haramu wameonywa dhidi ya kuendelea kushiriki biashara haramu kuuza pembe za Ndovu na vifaru. Katika hafla ya kuchoma pembe za ndovu iliyoandaliwa katika makao makuu ya shirika la uhifadhi wa wanyama pori nchini kenya, viongozi mbalimbali walisema tabia hiyo inatakiwa kukomeshwa mara moja. Rais wa garbon ali bongo alikuwa miongoni mwa wasemaji waliokemea kwa dhati hulka ya uwindaji haramu. Mbali na mwenyeji wao rais uhuru kenyatta, ujumbe kutoka marekani na ufaransa ulitoa msimamo mkali dhidi ya wawindaji haramu.
.
RELATED VIDEOS