Johnson Sakaja afika katika eneo la mkasa wa kuporomoka kwa jumba, Huruma
30th April, 2016
Mbali na Rais Kenyatta, wabunge Johnson Sakaja na Waziri wa Ardhi Jacob Kaimenyi ni kati ya viongozi waliofika katika eneo hilo la mkasa. Waziri kaimenya na mkuu wa tume ya ardhi nchini Professor Mohamed Swazuri waliwatahadharisha wanaojenga nyumba bila kuzingatia kanuni za ujenzi ili kuepusha matukio kama hayo katika siku zijazo.