x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watu 4 wafariki baada ya ukuta kuporomoka katika eneo ya Kilimani

30, Apr 2016

Tukiondoka Huruma hapo jana watu wanne walioripotiwa kufariki jioni ya jana baada ya mvua kubwa kunyesha jijini Nairobi baada ya ukuta wa nyumba ya kibinafsi kuporomoka mtaani Kilimani. Waathiriwa walikuwa wakijikinga na mvua hiyo na kwa bahati mbaya kufariki. Na kama anavyoripoti mwanahabari Saida Swaleh ni mvua iliyoleta uharibifu mkubwa.

RELATED VIDEOS


Feedback