x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chuo cha mafunzo ya utabibu cha Garissa kimefunguliwa tena

28, Apr 2016

Chuo cha mafunzo ya utabibu cha Garissa kimefunguliwa tena zaidi ya mwaka moja tangu kufungwa. Garissa KMTC kilifungwa kutokana na ongezeko la mashambulizi ya ugaidi katika eneo hilo. Lakini sasa mratibu wa usalama kaskazini mashariki mahmud saleh anasema kwamba doria ya usalama ni thabiti wala hakuna tishio la taasisi yoyote kushambuliwa.Hamza Yussuf anaripoti kutoka Garissa

RELATED VIDEOS


Feedback