Jopo la kumchunguza jaji wa mahakama ya juu laendelea na vikao vyake
28th April, 2016
Jopo la kumchunguza jaji wa mahakama ya juu liliendelea na vikao vyake hii leo huku mfanyibiashara Micheal Njeru akifika mbele ya jopo hilo.Kulingana na Kiplagat mfanyibishara huyo ndiye aliyemshawishi kumfuata jaji Phillip Tunoi lakini katika uchunguzi wake hii leo alimtaja Kiplagat kama mtu anayependa mlungula. Francis Mtalaki na maelezo kamili.