×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jopo la Tunoi laandika ukurasa mpya

27th April, 2016

Jopo la kumchunguza Jaji wa mahakama ya juu Philip Tunoi limeandika ukurasa mpya wa kufumbua ukweli kwenye sakata ya mlungula kwa kufika katika stesheni ya mafuta inayodaiwa kuwa ndipo hongo hiyo ilipopokelewa. Mpuliza kipenga Geofreey Kiplagat alitoa maelezo ya mambo yalivyokuwa siku hiyo na kisha jopo likarejea jumba la mahojiano. Francis Mtalaki na maelezo kamili.
.
RELATED VIDEOS