x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chase bank yafunguliwa

27, Apr 2016

Wateja wa Chase Bank mapema leo wamefurika katika matawi ya benki hiyo kuthibitishwa iwapo huduma zimerejeshwa. Benki ya Chase imewekwa chini ya mrasimu wiki tatu zilizopita. Baadhi ya wateja walionekana kuwa na matumaini kuwa kila kitu ki shwari sasa huku baadhi yao wakieleza kuwa mara tu benki itakapotatua matatizo yake bila shaka itakuwa benki ya kuaminika. Benki ya Chase sasa inasimamiwa na KCB. Meneja msimamizi wa benki hiyo kwa sasa Paul Russo ameahidi kuwa wako ngangari kuhakikisha kuwa wateja wake wanahudumiwa ifaavyo. Wateja waliopata huduma za benki hiyo kupitia mtandao waliruhusiwa kutoa hadi shilingi milioni moja pekee, kiwango kilichotajwa na benki kuu ya kenya wiki jana

RELATED VIDEOS


Feedback