Nyama ya punda yaanza kuuzwa mjini Mogotio
27th April, 2016
Tunaanza Taarifa zetu kwa habari za uwezekano wa kuzagaa nyama ya Punda nchini kufuatia kuzinduliwa kwa kichinjio maalum cha punda katika eneo moja la humu nchini.Kama alivyogundua mwanahabari wetu Victor Ogalle mjini Mogotio punda ameanza kuongezewa majukumu yake katika jamii kwa kuidhinishwa kuchinjwa na nyama yake kuuzwa