×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wasifu wa mwendazake Mama Lucy Muthoni Kibaki

26th April, 2016

Ametajwa kuwa mama wa msimamo thabiti. Hakusita kumkosoa aliyekwenda kinyume na kanuni zake, na hapa na pale alihusika mambo yaliyovutia vyombo vya habari ambavyo vilevile hakusita kuviziana navyo kila alipoona kwamba vimemlemea. Lakini je asili yake ni ipi na alikutana na MWAI kibaki lini. Huu hapa wasifu wa Mama Lucy Kibaki.
.
RELATED VIDEOS