Wakenya watoa rambirambi zao kufuatia kifo cha Mama Lucy Kibaki
26th April, 2016
Wakenya katika maeneo mengi nchini wamemkumba Mama Lucy Kibaki kuwa mama wa msimamo thabiti na hasa katika kusetiri maadili ya jamii kwa ujumla. Tumezungumza nao katika maeneo mbali mbali nchini