×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Biwi la simanzi latanda katika kaunti ya Nyeri alikozaliwa marehemu Lucy Muthoni Kibaki

26th April, 2016

Katika maeneo ya Mukurweini alikozaliwa marehemu Lucy Muthoni Kibaki na Othaya , alikoishi na mumewe rais mstaafu, biwi la simanzi lilitanda kwa kumpoteza mwanamke waliyemtambua kama mama. Wengi walimsifu kwa jitihada zake za kuanzisha miradi ya ufanisi ambayo imewasaidia watu hasa wale waliozongwa na umaskini.
.
RELATED VIDEOS