x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanajeshi wa KDF amuuwa mpenzi wake kisha kujitoa uhai kufuatia mzozo wa kinyumbani Kitui

25, Apr 2016

Mwanajeshi mmoja kutoka kambi ya wanajeshi ilioko Mariakani kaunti ya Kilifi amemuuwa mpenzi wake kisha kujitoa uhai katika kaunti ya Kitui. Kulingana na majirani, wawili hao walizozana baada ya matatizo ya kinyumbani wakidai kuwa binti huyo alikuwa na mpenzi mwengine.

RELATED VIDEOS


Feedback