Waziri Nkaissery afanya kikao na Jamii ya Marehan kutoka Somalia
24th April, 2016
Waziri wa Usalama wa ndani Joseph Nkaissery amefanya kikao na jamii ya Marehan kutoka Somalia kwa kile kinachotajwa kuwa kuimarisha uhusiano katika juhudi za kupiga vita ugaidi. Kadhalika amewataka Wasomalia kutofasiri visivyo ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Kenya na Somalia