Ubunifu Mtaani: Vijana wa Mitaani wameamua kujitafutia riziki na kuboresha Jamii
24th April, 2016
Je Vijana wa mitaani wana nafasi kuboresha jamii? Mwanahabari Geoffrey Kirui alitangamana na baadhi ya vijana ambao wameamua kujitafutia riziki na kujiondoa katika minyororo ya kutumia dawa za kulevya na sasa wanahudumu katika sekta ya matatu hapa Jijini Nairobi.