×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gwiji wa Nyimbo za Lingala Papa Wemba afariki Mjini Abidjan

24th April, 2016

Mashabiki wa miziki ya kale kama vile rhumba na lingala wanazidi kuomboleza baada ya gwiji wa miziki hiyo papa wemba kufariki. Papa wemba alianguka na kuzirai alipokuwa akitumbuiza mashabiki wake katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan. Papa wemba ambaye jina lake halisi ni shungu wambadio alikuwa na miaka 66. Miziki yake iliyovuma inajumuisha yolele na show me the way.
.
RELATED VIDEOS