Tembea Kenya tunaangazia eneo alikozikwa mpiganaji wa Wakalenjin Koitalel Arap Somoei
4th May, 2016
Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumamosi ya Tembea Kenya tunaangazia eneo alikozikwa mpiganaji wa Wakalenjin Koitalel Arap Somoei huko Nandi na vifaa mbalimbali vinavyohusishwa naye. Elvis Kosgei alitembelea maeneo hayo na kutuarifu kwenye makala yafuatayo.