Rais Uhuru Kenyatta atoa ahadi kuwa hatukakua na ufujaji wa hela ya kuinua vijana nchini
21, Apr 2016
Rais Uhuru Kenyatta ametoa ahadi kuwa hakuna mtu yeyote atakaye shiriki katika ufujaji wa hela au mali ambayo inanuia kunufaisha vijana nchini. Rais Kenyatta ameyazungumza haya katika sherehe ya kuapishwa kwa maafisa wa NYS waliokua makurutu katika kambi yao kuu huko Gilgil mapema mchana wa leo.