x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jeneza la mtoto lapatikana kwenye shamba katika eneo la Uasin Gishu

21, Apr 2016

Wakazi wa kijiji cha Chemalal kaunti ya Uasin Gishu waliamkia kisa cha kushangaza baada jeneza la mtoto kupatikana kwenye shamba la bwana mmoja likiwa na damu. Vilevile katika eneo jirani la Kipakaren mabaki ya mwili ya binadamu yalifukuliwa katika shamba la mwanamke mmoja. Elvis kosgei na kizaazaa hicho

RELATED VIDEOS


Feedback