x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Serikali ya Jubilee inaitaka mahakama ya ICC kuwasilisha faili za wanaodaiwa kuwaingilia mashahidi

21, Apr 2016

Sasa serikali ya Jubilee inaitaka mahakama ya ICC kuwasilisha faili za wanaodaiwa kuwaingilia mashahidi ikisema kuwa itaunda mahakama hivi karibuni kushughulikia madai hayo yanayolimbikiziwa watuhumiwa Walter Barasa, Paul Gicheru na Phillip Bett. Kulingana na mwanasheria mkuu nchini profesa Githu Muigai, Kenya imeshirikiana na baadhi ya mataifa chini ya mwavuli wa umoja mataifa ya Afrika kwenye mazungumzo ya iwapo bara Afrika litajiondoa katika mahakama ya ICC au la.mwanahabari Francis Mtalaki na melezo kamili.

Feedback