Mkurugenzi wa jiji la Kisumu Doris Ombara afungiwa nje ya afisi licha ya ilani ya mahakama
19th April, 2016
Mzozo baina ya mkurugenzi wa jiji la Kisumu Doris Ombara na gavana wa kaunti hiyo Jack Ranguma umechukua mwelekeo tofauti. Hii ni baada ya mkurugenzi huyo kufungiwa nje ya afisi yake licha ya ilani ya mahakama kumtaka aendelee kufanya kazi kama mkurugenzi. Mzozo huo umejiri kwa muda baada ya doris ukataa kuondolewa kutoka kwenye cheo hicho.