x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jamaa abuni njia ya kutumia maji badala ya nyaya kupitisha umeme Uasin Gishu

19, Apr 2016

Magavana nchini wakianza kongamano la kudadisi ufanisi wa mfumo wa ugatuzi tangu kuanza miaka mitatu iliyopita katika maeneo ya mashinani maswali mengi yanaendelea kuulizwa kuhusu iwapo wakenya wa tabaka la chini wamefaidika na mfumo huo. Katika kaunti ya Uasin Gishu mtu mmoja ameonyesha ubunifu mkubwa wa kisayansi kwa kutumia maji badala ya nyaya kupitisha umeme, hata kuwasha taa. Elvis kosgey na taarifa hio.

RELATED VIDEOS


Feedback