×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hali duni ya huduma katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Kakamega

19th April, 2016

Hali duni ya huduma katika hospitali ya rufaa ya kaunti ya Kakamega, imeonekana wazi hii leo baada ya ktn kugundua baadhi ya wagonjwa wakiwa wamekosa mahali pa kulazwa, na kulazimika kulala kwenye makaratasi ya kupakia bidhaa. Baadhi ya vifaa pia viko katika hali duni ya matumizi,licha ya taifa kuadhimisha miaka 3 ya matumizi ya sera za ugatuzi.
.
RELATED VIDEOS