x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi wa Kajiado waghadhabishwa na hatua ya wawakilishi wadi kusususia hotuba ya gavana Nkedianye

18, Apr 2016

Wakaazi wa kaunti ya Kajiado wameghadhabishwa na wawakilishi wadi kwa hatua yao ya kusususia hotuba ya gavana David Nkedianye siku chache zilizopita. Baadhi yao wanasema hatua hiyo inaashiria wawakilishi wadi hao wamesahau majukumu yao. Sasa wametishia kuliondoa bunge lote la kaunti kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2017 iwapo hawataheshimu taasisi ya gavana.

Feedback