×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wavuvi wanaoishi maeneo yanayo nuiwa kujengwa mradi wa SGR walalamikia mpango wa fidia

18th April, 2016

Wavuvi wapatao 1700 wanaoishi katika maeneo yanayo nuiwa kujengwa mradi wa Standard Gauge Railway na kivukio cha Dongokundu sasa wamejitokeza kuulalamikia mpango wa fidia. Wavuvi hao wamekashifu mkondo uliochukuliwa na serikali kupunguza fedha za kuwafidia kutoka bilioni 2.1 hadi milioni 980.
.
RELATED VIDEOS