Mwanamke Diminah Khasiala alimwokoa mtoto mmoja mikononi mwa mnyama
17th April, 2016
Mwanamke mmoja mwenye kisa cha kipekee. Diminah Khasiala mwenye umri wa miaka 55 alimwokoa mtoto mmoja mikononi mwa mnyama na kupata umaarufu mkubwa. Elvis kosgei alimtembelea katika kituo chake eneo la ngong’ na kutupambia makala ya mwanamke ngangari.