x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Serikali ya Jubilee imewasuta viongozi wa CORD walioandaa mkutano Kibra

17, Apr 2016

Serikali ya Jubilee imewasuta viongozi wa CORD walioandaa mkutano Kibra hapo jana na kusema kuwa wanalenga kuwagawanya wakenya. Naibu rais william ruto amesema kuwa hatua ya CORD kuwahusisha waathiriwa katika ghasia hizo ni mbinu ya kuwakosanisha wakenya.

RELATED VIDEOS


Feedback