Pango la kipekee ambalo Ndovu huingia wenyewe na kutafuta jiwe mahususi
16th April, 2016
Na kwenye makala yetu ya kila juma ya Tembea Kenya, mtazamaji umewahi kujuwa kwamba huku Kenya kuna pango la kipekee ambalo ndovu huingia wenyewe na kutafuta jiwe mahususi ambalo ni vigumu kupatikana popote pale?