x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wasichana 300 waliokwepa kupashwa tohara wahitimu katika mafunzo mbadala

16, Apr 2016

Hali ya furaha na shamrashamra ilidhihirika mjini Maralal katika Kaunti ya Samburu baada ya wasichana 300 waliokwepa kupashwa tohara kuhitimu baada ya mafunzo mbadala . Wasichana hao walifunzwa kuhusu umuhimu wa elimu na ubaya wa upashaji tohara . Sherehe hiyo iliyoandaliwa na viongozi wa eneo hilo wakishirikiana na mashirika yanayopinga tohara ya wasichjana ilibarikiwa na wazee wa eneo hilo walioapa kupinga tohara kwa mtoto wa kike.

RELATED VIDEOS


Feedback