x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanahabari wa shirika la Standard David Odongo alikamatwa kwa kuandika taarifa Kimani Rugendo

16, Apr 2016

Mwanahabari wa shirika la Standard anayeandikia gazeti la Nairobian ameachiliwa baada ya kulala korokoroni. Maafisa wa polisi walikuwa wamemkamata David Odongo hapo jana kwa kuandika taarifa kuhusu bilionea kimani Rugendo. Polisi walimzuilia odongo katika kituo cha polisi cha embakasi ila hawakusema kosa alilokuwa amefanya.

Feedback