x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Musalia Mudavadi ameishtumu serikali kwa kutozingatia ripoti wa TJRC

16, Apr 2016

Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi ameishtumu serikali kwa kutozingatia mjadala wa ripoti wa TJRC. Mudavadi ametaja kuwa ripoti hiyo ilikuwa na umuhimu mkubwa sana kwa taifa la kenya, kuponya vidonda vya ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007. Pia ameitaka serikali kuwajibika huku akionekana kutounga mkono maombi yaliyoandaliwa katika uwanja wa afraha katika kaunti ya nakuru.

Feedback