x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kinara wa chama cha NARC Kenya Martha Karua awasuta viongozi wa Jubilee kuhusu mkutano wa maombi

15, Apr 2016

Kinara wa chama cha NARC Kenya Martha Karua amewasuta wakuu wa serikali kwa mpango wa kufanya maombi katika uwanja wa afraha katika kaunti ya nakuru kama njia ya kusherehekea ushindi wa naibu wa rais William Ruto na mwanahabari joshua sang katika mahakama ya icc. Karua amesema kuwa wakati viongozi hawa wakisherehekea, waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi mwaka 2007 wangali hawajafidiwa na kusalia katika tabu kutoka na ghasia hizo.

RELATED VIDEOS


Feedback