x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Abiria wanne wafariki katika ajali ya barabarani katika eneo la Murang'a

14, Apr 2016

Abiria wanne wamefariki katika ajali ya barabarani usiku wa kuamkia leo baada ya gari lao kugongwa na lori lililokuwa limebeba mbolea karibu na chuo cha walimu cha Murang`a. Akithibitisha kisa hicho OCPD wa eneo hilo samuel kosgei amesema kuwa wanne hao ambao ni wanawake walikuwa wakitoka katika mazishi katika eneo la meru ilhali lori lilikuwa likielekea nanyuki. Watu wawili akiwemo dereva wa gari hilo walinusurika na sasa wanapokea matibabui katika hospitali ya thika level five. Wanaotumia barabara ya kenol – makuyu wameombwa kuwa waangalifu kupunguza ongezeko la ajali .

RELATED VIDEOS


Feedback