x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanafunzi asiyeona aorodheshwa kati ya wanafunzi waliozua vurugu katika chuo kikuu cha Nairobi

14, Apr 2016

Tunaanza habari zetu kwa kisa cha mwanafunzi asiye na uwezo wa kuona kujipata kwenye orodha ya wale walioorodheshwa kutimuliwa kwa muda katika chuo kikuu cha Nairobi… kupatikana jina la mwanafunzi huyo kwenye orodha hiyo kunaibua maswali kuhusu jinsi alivyohusika kwenye vurugu hizo na vilevile vigezo vilivyotumiwa kuwatimua kwa muda wanafunzi 227. Geof Kirui anaarifu

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback