Shughuli ya kuufukua mwili wa mwanamke anayedaiwa kuawa na mumewe yatibuka
13th April, 2016
Shughuli ya kuufukua mwili wa mwanamke mmoja katika eneo la Kangema anayedaiwa kuuawa na mumewe ilitibuka baada ya jamaa zake kushindwa kupata mahali anakodaiwa kuzikwa. Margaret Waithera anadaiwa kuuawa miezi sita iliyopita na kufikia sasa mwili wake haujapatikana.