x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanawe mbunge wa Matuga Hasan Mwanyoha, Mafanikio Hassan Mwanyoha ,ahukumiwa kifo Kwale

12, Apr 2016

Mwanawe mbunge wa Matuga Hasan Mwanyoha, Mafanikio Hassan Mwanyoha ,amehukumiwa kifo na mahakama ya Kwale . Mafanikio Hassan alihukumiwa pamoja na mwenzake ali hassan hussein kwa kosa la wizi wa mabavu baada ya kupatikana na hatia ya kumpora mtalii mmoja kwa jina Peter Schadwsky katika eneo la Diani .

Feedback