×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamaa anayemtuhumu jaji Tunoi kwa kupokea hongo afika mbele ya jopo linalochunguza madai hayo

12th April, 2016

Geoffrey Kiplagat jamaa anayemtuhumu jaji wa mahakama ya juu Philip Tunoi kwa kupokea hongo amefika mbele ya jopo linalochunguza madai hayo na kupigwa msasa na mawakili wa jaji…. Wakili wa tunoi Fred Ngatia alitilia shaka nafasi yake kiplagat hasa baada ya kuibuka kwamba kulikuwa na jamaa mwengine kwa jina Kiprop ambaye hakutajwa kwenye hati ya kiapo ya Kiplagat
.
RELATED VIDEOS