x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Elimu na Taaluma: Wanafunzi walemavu waitaka serikali kuwazia vyuo vikuu spesheli

11, Apr 2016

Baadhi ya wanafunzi walemavu waliopokea matokeo yao ya KCSE mwaka huu wametoa wito kwa serikali kuwazia vyuo vikuu spesheli vitakavyowapa nafasi sawa na wanafunzi wengine kujiendeleza. Mashirima Kapombe alizungumza na wawili ambao wana ndoto tofauti kitaaluma lakini changamoto yao kuu ni kutimiza ndoto hizo na sasa anaarifu kwenye makala ya elimu na taaluma.

RELATED VIDEOS


Feedback