Waziri wa ardhi Jacob Kaimenyi atangaza mpango wa kutoa hatimiliki za ardhi milioni 1.2
11th April, 2016
Waziri wa ardhi Jacob Kaimenyi ametangaza mpango wa wizara yake kutoa hatimiliki za ardhi milioni 1 nukta 2 kufikia mwisho wa mwaka huu. Hii ni mojawepo ya jitihada za kuhakikisha kuwa inatoa zaidi hatimili miliki milioni tatu za ardhi kabla mwisho wa mwaka ujao. Kwa sasa serikali ya jubilee imetoa hatimiliki milioni mbili nukta nne.