×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa benki ya National Munir Ahmed ahojiwa na CID

11th April, 2016

Huku wateja wa benki iliyowekwa chini ya mrasimu wakisubiri suluhu ya kuwarejeshea pesa zao, benki kuu imeanza leo kutoa ufadhili kwa benki zinazojipata kwenye matatizo ya kifedha bila kukusudia. Wakati huo huo aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa benki ya National Munir Ahmed na Mameneja wengine watatu wamehojiwa katika makao makuu ya idara ya upelelezi nchini hapa Nairobi.
.
RELATED VIDEOS