Tume ya ardhi yatangaza kuendelea kwa mradi wa kawi ya upepo Lamu
10th April, 2016
Tume ya ardhi nchini imetangaza kuwa mradi wa kawi ya upepo eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu utaendelea. Mradi huo uliofadhiliwa na Benki Kuu ya Dunia unaotarajiwa kugharimu shilingi bilioni 21 umekuwa ukikumbwa na misukosuko baina ya wakazi wa eneo hilo na serikali kuhusiana na swala la fidia. Mwanahabari Francis Ontomwa na taarifa hiyo....