Wakaazi wa Nyeri washuhudia harusi ya kipekee
10th April, 2016
Wakazi wa Nyeri hapo jana walihudhuria harusi ya wanandoa ambao hawana uwezo wa kuzungumza wala kusikia. Charles Gichuhi alifunga ndoa na Ann Wambui katika sherehe iliyowavutia washiriki. Paul Nabiswa anaarifu