x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Abiria wanusurika kifo baada ya ajali kutokea katika eneo la Kibarani, Mombasa

10, Apr 2016

Watu kadhaa walinusurika kifo katika eneo la Kibarani Mombasa,baada ya lori lililokuwa likielekea mjini mombasa kupoteza mwelekeo na kugonga matatu iliyokuwa ikielekea Changamwe. Matatu hiyo ilibingiria mara kadhaa na kusababisha gari jingine kuingia bondeni. Waathiriwa walipelekwa katika hospitali kuu ya Coast General wengi wao wakiwa wamevunjika miguu na mikono.

RELATED VIDEOS


Feedback