Rais Uhuru awaonya maafisa wa benki dhidi ya kuwalaghai Wakenya
10th April, 2016
Rais Uhuru Kenyatta ameonya kuwa maafisa wa benki watakaowalaghai wakenya watachukuliwa hatua kali za kisheria. Rais amesema maslahi ya wateja yanatakiwa kulindwa kwa njia yoyote ile. Ujumbe sawa na huo umetolewa na kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi