x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KTN Leo Wikendi Kamilifu April 9 2016 - Githu Muigai aikosoa Mahakama ya ICC

09, Apr 2016

Mkuu wa sheria wa kenya Professor Githu Muigai amepinga usemi wa kiongozi wa mashtaka ya jinai ya kimataifa ICC Fatou Bensouda kwamba kusambaratika kwa kesi dhidi ya naibu rais William Ruto na Joshua Sang kulitokana na kenya kukosa kushirikiana na mahakama hiyo. Muigai amesema hamna taifa lolote barani afrika ambalo limeisaidia mahakama hiyo kushinda kenya ikiwemok kutumika kwa uwanja wa jomo kenyatta kuwasafirisha washukiwa wengine kutoka mataifa jirani hadi the hague.

Feedback