x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kisima cha hangaiko na Robert Wanyonyi

08, Apr 2016

Wakati alipotoka nyumbani kwake mjini mumias tarehe saba februari mwaka huu, familia yake Abubakar Mohammed ilifahamu kuwa alikuwa akienda mjini Malaba mpakani mwa kenya na uganda, kununua gari. lakini walishangazwa saa kumi na mbili baadaye, kupata ripoti kuwa Abubakar alikamatwa na maafisa wa polisi, kabla ya kupokea habari zaidi kuwa alikuwa ameuawa na mwili wake kupatikana katika hifadhi ya maiti ya Kisumu. je?....ni nini kilichojiri?

RELATED VIDEOS


Feedback