x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanamke adai kujifungua na kuua mtoto

08, Apr 2016

Mwanamke mmoja kutoka mtaa wa makongeni hapa Nairobi amezua sarakasi katika hospitali ya pumwani mapema leo pale alipotoa madai kuwa alikuwa amejifungua mtoto na kumuua. Inaarifiwa mumewe alifika kwa haraka, na kwa uchungu akawahoji wauguzi, lakini ilibainika kuwa mkewe alikuwa anamhadaa kuhusu uja uzito aliokuwa nao ili waachane kwa madai kuwa mume huyo ana mpenzi wa kando

RELATED VIDEOS


Feedback