×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Francis Atwoli ataka umoja wa jamii ya wanacord

8th April, 2016

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Francis Atwoli amelaani vikali kisa cha mkutano wa Seneta Wa Bungoma Moses Wetangula kuvurugwa na kikundi fulani cha watu. Atwoli aliyezungumza akiwa Nambale katika Kaunti Ya Busia mapema leo, amesema kwamba kila kiongozi kutoka magharibi ya Kenya ana uhuru wa kutangaza azma yake kugombea urais kokote anakotaka.
.
RELATED VIDEOS