Jaji wa Tunoi aitisha muda zaidi wa kujiandaa vyema
7th April, 2016
Jaji Phillip Tunoi alipata afueni ya muda baada ya jopo linaomchunguza kukubali ombi la kuhairishwa kwa vikao vyake hadi jummanne kutokana na kukosekana kwa wakili Fred Ngatia aliyekuwa katika mahakama ya rufaa akimuakilisha kutokana na ile kesi ya kustaafu kwake. Kutokana na hilo Tunoi alitaka kesi ilioko mahakamani kusimamishwa hadi pale jopo litakapo kamilisha uchunguzi wake.