Chuo kikuu cha Nairobi chafungwa kwa muda usiojulikana kufuatia maandamano ya wanafunzi
5th April, 2016
Chuo kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia maandamano ya wanafunzi. Ni maandamano yaliyofanyika baada ya Babu Owino kuchaguliwa tena kuwa kiongozi wa wanafunzi katika uchaguzi wanaodai kuwa haukuwa wa haki. Wakati huo huo, waliokiuwa viongozi wa wanafunzi wametaka mabadiliko katika katiba ya uongozi wa wanafunzi.